Hamad amtembelea Shamis Ali

Written by  //  30/03/2015  //  Habari  //  Maoni 23

mgonjwa

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, amtembelea kijana Shamis Ali Khamis nyumbani kwao Mwembemakumbi. Shamis ni mmoja kati ya watu waliojeruhiwa wakati msafara wao ukiwa njiani kutoka mkutano wa Chama cha Wananchi (CUF) katika jimbo la Makunduchi, Unguja Kusini. Kijana huyo aliyejeruhiwa jicho la kulia anasafirishwa leo kuelekea Dar es Salaam kwa matibabu zaidi.

Wanamzalendo ipo haja ya kuwapigia Harambee waliofikwa na masaiba haya ili wajihisi nasi tupo pamoja nao na ziwasaidie katika matibabu.

Paypal ipo kwa atakaejaaliwa achangie na ref iwe Makunduchi.

Kuhusu Mtunzi

I am particularly interested in combining photography with graphic design to communicate the message of the peace to a specific audience.

View all posts by

Maoni 23 katika "Hamad amtembelea Shamis Ali"

 1. bakora 30/03/2015 kwa 2:38 um ·

  Wanasema hatukuyaona mapinduzi ndio wanatuonesha sasa.

 2. michipuko_siodili 30/03/2015 kwa 3:11 um ·

  Ah pole kijana kwa tukio lolote lililokukuta ila sitaki kuamini kama hilo tatizo ulilolipata ni fujo za wana ccm ila haya tuneyazowea kuyasikia na sihasha wakawa hawa hawa wana Cuf wanayapika kwa maslahi yao ili waonekane kuwa wanaonewa kumbe ni propaganda lakini mtafanya hivi mpaka lini kumwaga damu kuwatia vilema wafuasi wenu na mwisho wa siku kuwatelekeza mana hata husikii pesa ya ruzuku kuwa imewasaidia vipi wanachama waliopata maafa wakiwa katika harakari za kutetea chama na ukitaka kujuwa izo pesa matumizi yake hapo ndo unakuwa huna adabu na unafukuzwa chama kama Mh Hamadi Rashid

  Mimi ningeomba wana CUF waamke kwani wasikubali kutumiwa hawa hawana nia njema na mimi na wewe eapo kwa faifa ya matumvo yao Halafu hii habari ya kushambukiwa nyinyi waandishi mbona mnashindwa ku balance story hivi hakuna msemaji wa police wa kuthibitisha hili tukio au ndo mnatudanganya tu. Pia ningeomba wanamzalendo kubadilika story ikiwekwa hapa iwe imechujwa sio imekuwa kama shamba la bibi kila mmoja.mistari miwili na uwongo mwingi inakuwa habari

  Kidumu chama Tawala kidumu niwatakie siku njema Mungu akujalie upowe ndugu ili uwendele na harakati za kujitafutia riziki

 3. alfa 30/03/2015 kwa 3:37 um ·

  Ndugu michipuko siodili kama unavyojiita hapa umeonesha dhahiri mchana kweupe chuki zako dhidi ya wanacuf lkn kumbuka lisilokufika leo basi kesho litakukuta, leo ni kwamwenzako lkn kesho ni kwako na ukisema kua cuf wamejipiga wenyewe waonekane wanaonewa huo ni uongo na ujinga usiomashiko. waliofanya ushenzi wa kuwashambulia watu ktk msafara Allah awaangamize hapahapaduniani na awape adhabu kali zaidi huko akhera twendako. kitendo kilichofanywa na janjawiri ni cha kulaaniwa sana.

  • Abdul Zakinthos 30/03/2015 kwa 7:36 um ·

   Kwa hakika umejibu vyema kabisa haina haja mtu mwengine kumjibu wacha tujadili kilichotokea

   Ila CUF juzi walisema hata sehemu walokuwa wakipigwa mawe sasa hivi hawapigwi tena wamekubalika wakamaanisha ni huko Makunduchi

   Sasas sijui imekuaje tena,lakini Tutafika tu inshallah.

   Huyu Michipuko naona ndio yule yule kinyonga kila siku anajisajili kwa jina jipya

   Ila inshallah M’Mungu atamfungua na ataukubali ukweli

   Huyu ana sumbuliwa na Cognitive behavioural na anahitaji therapy lakini ataipata tu humu humu Inshallah

 4. Kamshuu 30/03/2015 kwa 3:37 um ·

  Ushazowea kutiwa katiwe tuu ndio mambo kama Asha mtama kaolewa ana mume akenda akaolewa tena

 5. SALAH 30/03/2015 kwa 4:23 um ·

  Huyu mchepuko ni mtanganyika asiye akili asitusumbue..washazoea kuua albino kwao tanganyika

 6. utaani 30/03/2015 kwa 4:26 um ·

  Mwenye hilo gari lilotumika kufanyia uhalifu huo basi ni kufuwatwa nyumbani kwake , imwagieni petrol nyumba yake yote wakati family imelala, na iwasheni moto huku muko nje na mapanga atokae munamkata kata kwa mapanga, ushenzi ni ushenzi tu liwe fun so kwa wengine

 7. haidar sharuk 30/03/2015 kwa 4:33 um ·

  Inshaallah mchepuko Allah atakuonyesha hapahapa duniani.Kama na hili ni mipango ya wanacuf basi Allah atakuonyesha kama si ww mwanao dadako au mzazi wako. amin

 8. mohammed Rashid 30/03/2015 kwa 4:49 um ·

  we michipuko unasema kama cuf wamejipiga wenyewe, ivi unajua ni gari gani lililotumika kuwabeba hao janjawidi? kama hujui gari lililotumika ni fuso la bhaa na lina rangi na maandishi ya ccm, sasa iweje unasema wanacuf wamejipiga wenyewe? au ndo unatujejea? basi tambua kama kuna siku yatakuelekea wewe au yeyote kati ya ahli zako na hapo ndio utajua uchungu wake, na insha allah Mungu akuonyeshe hapahapa duniani kabla hujafa na akhera akakumalize kwenye jahannam milele kwa chuki na furaha unazozionyesha waziwazi,Laana mkubwa we

 9. fey 30/03/2015 kwa 5:09 um ·

  Kawaida ya mwizi huona na mwenziwe mwizi. M usimshangae huyo anayejiita michipuo maana anaona CUF watakuwa kama wao maCCM kuchoma moto maskanii zao halafu wakasema wamechomewa na CUF na si haha kuwa na yeye ni mmoja aloshambuliya

 10. Ghalib 30/03/2015 kwa 5:15 um ·

  Makamu wa Rais wa kwanza, maalim seif sharif Hamad anatakiwa sasa hivi ambane koo Dr Shein kwani ndio mwenye nguvu na kuyakemea haya, na yeye ndio wa kulaumiwa. Na haya inshallah yataisha pale mamlaka kamili ya zanzibar yatakapo patikana, hatutalipiza kisasi ispokuwa tutachukua hatua za kisheria kwa makosa ya jinai kama haya na kuadhibiwa vikali. Tumechoshwa.

 11. MKATABA 30/03/2015 kwa 5:34 um ·

  @MICHIPUKO SIODILI
  Kumbuka kua wewe ni kumbe umeumbwa na hwishi kuumbwa mpaka unapotiwa Kaburini. Yaliyomfika kijana SHAMIS na wenzake,basi ukumbuke kua na wewe yanaweza kukufika wakati wowote. Kama wewe ni Muislamu hutakiwi kutoa kauli kama hiyo ulioitowa wewe kauli ya kejeli na kibri kikubwa Kama wewe ni Muislam unatakiwa kulaani kitendo hicho na kumuombea shifaa kwa aliefikwa na mtihani huo kwani hayo yote ni Mitihani kutoka kwa Muumba aliyekuumba wewe na mimi na hao walio patwa na Mtihani ikiwa na Viumbe vyote.Kauli yako ulioitowa hatokusaidia chochote hapa DUNIANI na Akhera

 12. swalahi 30/03/2015 kwa 5:34 um ·

  Nyie msisumbue akilizenu burue huyo michepuko nimtoto wazinaa Mimi namjuwa mpaka aliempamimba mamayake

 13. Fatal 30/03/2015 kwa 5:51 um ·

  vitendo vilivyofanywa jana njiani na janjaweed wa CCM kwa wafuasi wa CUF ni vyakinyama sana na havikubaliki hapa Zanzibar na Ulimwengu mzima.
  Tunawambia viongozi wa chama cha CUF Hasa Maalim Seif kama hawa watu walotenda mambo haya ya kinyama hawakupatika na kufikishwa katika vyombo vya dola basi hapa Zanzibar hapatokalika tena kwa sababu mashahidi wapo na gari lililotumiwa na Janjaweed wa CCM kurusha hizo silaha kwa wafuasi wa Cuf linajulikana watu waliliona kwa hiyo Serikali ya SMZ na jeshi la polisi kama hawatofanya kazi yao…basi Lazima vijana wa kiZanzibari tutalipiza kisasi kabisa tena

 14. Abdul Zakinthos 30/03/2015 kwa 7:39 um ·

  narekebisha tu kauli yangu kumbe limetumika fuso kushambulia Inaonesha kweli watu wa Makunduchi wametukubali na hatupigwi mawe tena kama anavosema Maalim ila baadhi ya watu wasiotaka mema wanotaka kuturudisha kule kule tulipotoka ndio wameanza mapema

 15. buhanan 31/03/2015 kwa 4:18 mu ·

  @Kamshuu
  Aste Aste Najua yanachukiza na kuhuzunisha lkn nn tutafanya .Mimi jambo linalonikera hawa CUF Ni kwamba haoni mbali au hawajui kujipanga au tuseme wana dharau fulani .Wanasema kukinga ni bora usisubiri litokee ndio ukataka kukinga utachelewa.Huu ni UZEMBE Wanatakiwa CUF waweko Serous kila ktk mambo yao Hususan ktk kipindi hichi .Ofisini zao kuwe na watu wa kulala ,mikutano yao wahakikishe usalama unapatikana wa kwenda na kurudi kwao lkn kama alivyosema mjumbe mmoja hapa sio lazima watu wa mjini kwenda kwenye mikutano shamba halafu CUF lazima muwe na sungu sungu musifanye mambo kitoto .Amkeni hii Dunia Dumeeee.

 16. mpetehalisi 31/03/2015 kwa 7:31 mu ·

  Amani iwe kwenu wana mzalendo.

  Kwanza nawapa pole wote ambao wamepatwa na maswahibu haya na kupelekea madhara makubwa ya kiafya, Inshaallah Mungu awape subra na awajaalie wapone haraka na kurudi kuendelea na shughuli zao.

  Pili, mimi kama mimi siungi mkono watu kufanyiana vurugu kwa namna yoyote ile hasa kwa kisingizio hichi cha siasa, na kwa hivyo nalaani vikali mashambulio haya. Sisi sote ni binaadamu, wazanzibari au watanzania na kubwa zaidi naamini kwa asilimia kubwa waumini wa dini ya kiislamu hasa hapa zanzibar. Kibaya zaidi tunafanyiana vitondo wenyewe kwa wenyewe kinyume na imani ya dini yetu, haikubaliki.

  Aidha mimi kama mimi Mpete, nisingependa kumnyooshea mtu kidole kwamba huyu ndie aliefanya kwa kuwa sina ushahidi wa moja kwa moja, na wala siwezi kuwakatalia wale wenye ushahidi mzuri wa tukio hili kuwapelekea tuhuma hao wanaowadhania wafanyaji. Ninachoweza kusema na kukubali ni kwamba matukio ya uvunjifu wa amani yamefanyika siku hiyo ya jumapili katika maeneo tofauti.

  Nasemama matukio ya uvunjifu wa amani kwa sababu hayakutokea sehemu moja tu, gari la wafuasi wa CUF lilishambuliwa kweli na watu wamejeruhiwa sana kama inavyoripotiwa, lakini pia watu waliokuwa ndani ya gari (sina uhakika kama ni wafuasi wa cuf) walirusha mawe sana maeneo ya meli 4 (TAVETA) muda wa kati ya saa 1 na 1.45 jioni, hili nina uhakika nalo sababu nilikuwa jirani na maeneo hayo, kwenye huu mtandao na vyombo vya habari watu hawajaliona hilo. Bahati ni kwamba hakutokea mtu aliejeruhiwa kwa kiwango kikubwa ila matatizo ya hapa na pale yalitokea maeneo hayo.

  Haya yote ni dalili mbaya kwa huko tunakokwenda, mambo yanaelekea kuwa ni magumu sana kama watu wataendekeza siasa hizi za kijinga. Vyombo vya dola peke yake ni ngumu kuweza kudhibiti hali hii, kubwa linalotakiwa hapa ni kwamba watu waseme na nafsi zao, wazikataze nafsi zao kufanya matendo kama haya kwani hayana faida hata kidogo na hayatufikishi popote.

  Usahuri wangu binafsi:
  Kwanza watu sote tubadilike na turudi kwa Mungu kwa kufanya mambo ya dini zaidi kuliko harakati za siasa, kinachoonekana kwetu zanzibar ni kwamba watu wanazipa nafasi kubwa na imani thabiti harakati za siasa kuliko mambo ya dini, Mungu anatulipa kwa kile tunachokitaka.

  Pili tuache tuhuma na kunyoosheana vidole, na viongozi kutoa kauli za shutuma waziwazi kwa kundi fulani kwani huko ni kuzidisha uadui na hamasa zisizo na tija zaidi ya kukuza na kupalilia uhasama katika jamii. Wanaweza kutokea wahalifu wakapanga uhalifu wao kwa kutumia nafasi hiyo hiyo ya kauli za kushutumiana na ikaonekana ni watu fulani labda wamelipiza kisasi, ikitokea hivyo naamini itafikia wakati watu hata majumbani mwao watalala kwa hofu au wakayakimbia kabisa majumba yao, hapo itakuwa faida imepatikana kweli? Tafakari kwa kina jambo hili, kauli zinatakiwa zikitolewa ziwe ni za kiuongozi zaidi kuliko za kishabiki.

  Tatu ni ombi kwa vyama vya siasa hasa CUF na CCM, wabadili mfumo wa kutangaza sera zao, ni vizuri sana wafanye mikutano yao kwa kuhusisha watu wa eneo husika tu labda na maeneo yalio jirani sana. Mfano wakifanya makunduchi basi iwe kwa watu wa jimbo la makunduchi labda sana sana na majimbo jirani kama la Muyuni, kusiwe na misafara ya magari tele mpaka watu kutoka matemwe waende makunduchi, asilimia karibu 99 ya watu walohudhuria mkutano ule hawakuwa kutoka jimbo la makunduchi, ni kutoka huku mjini na maeneo mengine. saa hizi ni sifa za kijinga kukusanya misururu ya magari bure, hata kama pahala huna wanachama wengi nenda tu kahutubie hao hao, kwanza watapata nafasi ya kukuelewa vizuri kwa karibu kabisa na utaweza kujenga ushawishi mzuri hata kwa wengine ambao watapata kukusikia sera zako kwa utulivu. Leo hii ukienda nungwi unaondoka na watu kutoka mjini, makunduchi, kiembe samaki, nk kila siku unahutubia watu hao. haisaidii sana zaidi ya sifa za kijinga.

 17. michipuko_siodili 31/03/2015 kwa 2:10 um ·

  @ Swalahi

  Najuwa unanijuwa sana ila mimi inawezekana hivyo Je wewe unajijuwa kwani mama ako ashaa acha kuzini na yule jamaa kimbele mbele wa CUF

 18. Truth will set free 31/03/2015 kwa 2:13 um ·

  Hizo ndi siasa zetu CCM kwani si tuchawaambia kuwa Ushindi lazima Sasa unaona tunaumiza watu wala hatufanywi kitu Polisi wanasema watu wasiojulikana sasa kweli hawatujui au ni wenzetu tuu

 19. michipuko_siodili 31/03/2015 kwa 2:14 um ·

  Halafu niombe wachangiaji tujadili hoja.msinijadili mimi kwani kila nmoja ana mawazo yake kama unahisi mawazo yangu hhayakuridhi basi towa mawazo yako

  Tusiwe wajinga wa mawazo kama mimo napenda ccm ww penda chadema au chama kingine sawa tuwe wastaarabu vyenginevyo tuambiwe kuwa huu mtandao wa watu flani tu

 20. Truth will set free 31/03/2015 kwa 2:15 um ·

  Ukweli inatutisha mguu mbele mguu nyuma ndo mana tunataka kupunguza idadi ya watu kwenda CUF mikutano waogope

 21. Truth will set free 31/03/2015 kwa 2:20 um ·

  CCM hatuwezi kufanya jimbo fulani tuu kwa watu wa jimbo lile tuu kwa sababu ni aibu ndio mana tunatia mafuta gari bure ili kuengeza watu ili kwenye video muone tupo wengi mbona tunajuwa kama wimbi kubwa saivi ndo mana

 22. mkolif 31/03/2015 kwa 4:36 um ·

  @ GHALIB

  Mm niunge mkono mchango wako
  Huu ni wakati wa kukifanyia kazi cheo cha makamu wa kwanza wa rais ktk serikali ya umoja wa kitaifa
  Ni wakati wa mawaziri wa cuf kusimama kidete kupinga siasa hiz na kushinikiza wanaofanya haya wasakwe hilini jukumu la serikali kukushinikiza kusakwa kwa walioshiriki kufanya tukio hili la kinyama
  Hili cio la ccm wala cuf muhim raia na viongozi wao na maaskofu na mashekh walikemee tukio hili na waitake serikali kulifatilia na kuwataja wahusika kama ilivyokua kwa ubaya ubaya

Comments are now closed for this article.