Wabongo kwa kujifanya wajuaji, ati wamehack MZALENDO.NET ?
Written by Mrfroasty (Ufundi) // 28/05/2012 // Burudani // 5 Comments
Baada ya kufanikiwa kuihack ile website inayotumiwa na kundi lenye itikadi kali za kidini la MUAMSHO, inayojulikana kwa domain name la mzalendo.net, msishangae JF kuvamiwa na threads za ajabu ajabu kutoka kwa wana-Muamsho waliopo humu kama akina Kiziwi, Kunguru Mweusi etc. Itaendelea kuwa offline hadi hapo hali itakapokuwa sawa huko kwenye ukanda wa mikoa mitano ya Visiwani. Kwa sasa wana-JF msishtuke kuona mtu anaweka posts huku akitokwa mapovu, especially zile zinazohusu kukamatwa kwa viongozi wa Muamsho. Hayo ni matokeo ya kukosa mahali pa kuwekea hisia zao.
CHANZO:JAMII FORUM




