habari za ulimwengu wa burudani, muziki, filamu, mashairi,michezo

Michezo
06/03/2012, Comments Off on Michezo

KIVUMBI cha ligi Kuu ya Zanzibar kiliendelea tena juzi katika uwanja wa Mao Dze Tung na kushuhudiwa miamba miwili Zimamo ...

Timu ya Jamhuri
06/03/2012, Maoni 1

Na Fatma Said, Zanzibar WAWAKILISHI wa Zanzibar katika Kombe la Shirikisho Barani Afrika timu ya Jamhuri wanatarajiwa ku ...

UCHAMBUZI WA SANAA ZA BW HAJI GORA HAJI
19/02/2012, Comments Off on UCHAMBUZI WA SANAA ZA BW HAJI GORA HAJI

Zifuatazo ni sanaa za bwana Haji Gora Haji: 1. Ujue Kosa Lako Hii ni moja kati ya kazi ya kuvutia aliyoitayarisha msanii ...

Kutoka uwanjani Mao Tsetung – Pambano kali linaendelea.
08/02/2012, Maoni 3

Naam wapenzi wasikilizaji jioni hii hapa katika kwainja cha Mao Tsung pambano kati ya time za Supper Falcon kutoka kule ...

Kutoka Kushoto-Mwale-Violet Maila-Ashish  Nagewadia-Kheri-Rosie Carter-Mahsin Basalama
ZANAIR YAIWEZESHA SWAHILI CENTER KUONGEZA USHIRIKI WA PEMBA KATIKA TAMASHA LA BUSARA
30/01/2012, Comments Off on ZANAIR YAIWEZESHA SWAHILI CENTER KUONGEZA USHIRIKI WA PEMBA KATIKA TAMASHA LA BUSARA

Taarifa kwa vyombo vya habari Imetolewa kwa pamoja baina ya Swahili Performing Arts Center na ZanAir Ltd. Tarehe: 29 Jan ...

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akimvisha nishani kijana Mohd Khamis mwenye ulemavu wa akili baada ya kupata ushindi katika michezo ya Special Olimpik kwa ajili ya watu wenye ulemavu yaliyofanyika Morogoro. Hafla hiyo ilifanyika uwanja wa michezo Gombani Pemba.
Olimpik ya walemavu – Gombani Pemba
14/01/2012, Maoni 1

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad amekabidhi nishani mbali mbali kwa vijana wenye ulemavu wa ...