Matukio katika Picha CCM v UKAWA

Written by  //  26/08/2015  //  Burudani, Makala/Tahariri  //  Maoni 7

C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_DSC_1237

FB_20150824_15_01_20_Saved_Picture

IMG-20150824-WA0016

IMG-20150824-WA0020

IMG-20150824-WA0021

IMG-20150826-WA0002

FB_20150824_14_56_19_Saved_Picture

Kisonge wameuliza Swali Lowasa wa ZNZ anasubiri nini?

Magari yakisubiri kuhamisha watu wakajaze mkutano.

Kuhusu Mtunzi

Teesside University.

View all posts by

Maoni 7 katika "Matukio katika Picha CCM v UKAWA"

 1. Kidekide 27/08/2015 kwa 9:52 mu ·

  “Magari yakisubiri kuhamisha watu wakajaze mkutano.”

  Kwani kusafirisha watu kutoka wilaya moja kwenda wilaya nyengine si kumepigwa marufuku vile na jeshi la polisi?

  Nakumbuka marufuku huu ilitolewa baada ya mkutano wa CUF uliofanyika Makunduchi.

 2. battawi 27/08/2015 kwa 11:01 mu ·

  Kisonge hawana mpya,wasubiri siku ya uzinduzi wa campeni za uraisi
  ZanzĂ­bar,na wapatiwe dozi yao hadi wavute vute
  Mpaka siku ya MAUTI YA CCM Oct.25.2015.
  Wasijegawana mbao za maskani zao maana ulaji utakuwa
  Umekwish. Nasikia lile banda ni mali ya muheshimiwa
  fulani,na ule ubao ni mali ya borafya,na ile meza ya biashara
  mali ya Asha Bakari,mlingoti wa bendera na bendera ndio mali yaCCM.

 3. zamko 27/08/2015 kwa 2:22 um ·

  DOOOOO
  AMA CCM WAMEKWISHA KABISA..

  Walijuwa Ratiba ya Ukawa nikutembelea Watu na baadae Watembelee Hospitali Zote za Serikali.. Wamewatuma Vibaraka Wao POLISI Wamzuie Mgombea Wa UKAWA kufanya Hivyo na badala yake Wamemtoa Yule Fisadi wa Kimakunduchi Samia Suluhu ili Akatembelee Mahospitali… DOOOOOOO Huko Ndiko Kuishiwa kwa CCM..

  Hatimaye Wamezomewa kila wanakopita .. Wanazomewa na kuitwa Wizi na panya Road.. Kwanini hawabuni Njia zakupiga Campeni Sasa Wanaiga Iga Campeni za UKAWA…?????

  Umoja ni Nguvu na utengano ni Udhaifu.. Hata CCM wakimtuma Yule Kibaraka Wao Samia Suluhu Aende Hospitalini haita saidia kitu tayari Wananchi Masikini Wanajuwa kwamba Lowassa na Ukawa ndio Chombo cha Wanyonge na CCM ni Chama cha Kifalme ambacho Hurisishana Wazee Watoto na Wajukuu Zao.. Halafu Yule Gorila wa Mkapa nasema kwamba TANU na ASP ndio iliwakomboa Watu..

  Yes Iliwakomboa Watanganyika na Zanzibar lakini Nyinyi CCM mukawanyangaya Uhuru Wao na sasa Munawatawala kwa Nguvu.. Hamutoki mara Hii Inshallah.. Mumeshawasha moto wa Mapambano Wananchi Watawatafuna Mafisadi Wakubwa na wizi wa Mali za Umma.

  • mpetehalisi 28/08/2015 kwa 5:49 mu ·

   @zamko
   Wewe wala hujui ulisemalo zaidi ya matusi na ufokonyoko kutoka mdomoni mwako, kuzusha uongo na fitina ukifikiri kwamba utababaisha watu. Sifikirii kama ni sahihi kumwambia mh Samia n malaya wa kimakunduchi, ni ukosefu wa adabu ambazo nahisi hata huko kwenu watu wako unawafanyia hivyo hivyo. Jifunze kuwa na adabu na kuacha kibri cha matusi kwani unajilaani mwenyewe. Hizo ni siasa za maji taka.

   Samia hana sehemu alioenda akazomewa, labda msubiri akija zanzibar kama atakuja mtendeni ndio utamzomea wewe. Jitahidi tu kujikamuwa kwa matusi wakati wenzio mbele kwa mbele usubiri kitakachotokea october Inshaallah, sisi tunaposema ushindi ni lazima huwa hatutanii, utaisoma namba tu. Kama unamaradhi ya presha basi pole na andaa tiba kabisa.

 4. muwattin 28/08/2015 kwa 8:14 mu ·

  @Mpetemwehu. Imekuwaje tena mbona umekasirika kutajiwa dada yako Samia (Ramia binti Dasi)? Nyinyi walaanifu wa CCM ni ruksa kutukana watu si umemsikia babako mpenzi dume la nyani Mkapa pale Jangwani akitukana watu mshenzi mla watu [Cannibal]. Wewe wacha zako huyo Samia ndio karagosi gani?Mkileta makhnatha yenu mtaambiwa kweli,halafu usijidanganye eti subirini October mtaona,tutaona nini mlokuwa hamjakifanya mafirauni nyinyi.Safari hii subiri wewe na wanoko wenzio na Ami yako Haruna (PREM CHOPRA) mkuu wa wa mafatani. MPETE FUNGA DOMO LAKO LISOPIGWA HATA MSUWAKI.MJINGA USOEREVUKA NA UTAZIDI KUDIDIMIA KIMAWAZO INSHAALLAH. NENDA KALALE MBELE

 5. makunduchi 29/08/2015 kwa 8:17 mu ·

  mpete jipe moyo utashinda

 6. Tengoni 30/08/2015 kwa 9:18 mu ·

  Lowassa wa Zanzibar ni nani jamani, anaemjuwa atueleweshe.

Comments are now closed for this article.