Zanzibar 2-1 South sudan (ALLAH awape nguvu wachezaji wetu wazidi kuipa jina nchi yetu amin.)

Written by  //  27/11/2013  //  Michezo  //  Maoni 19

zenji_sudan

Tunamuomba ALLAH S.W azidi kuwapa nguvu wachezaji wa timu yetu ya taifa amin.

Kuhusu Mtunzi

View all posts by

Maoni 19 katika "Zanzibar 2-1 South sudan (ALLAH awape nguvu wachezaji wetu wazidi kuipa jina nchi yetu amin.)"

 1. fey 27/11/2013 kwa 10:24 um ·

  Na ndio maana hawa wakoloni wetu ( Tanganyika) hawataki kutuachia tukaingia ktk Mashirika ya Michezo kwa jina letu, wanaona tutafanya kweli. Wao hawatufiki na yakija mashindano kwa jina la Tanzania huingizana wao tu wakenda pale wakapigana mateke basi.

 2. alwattan 28/11/2013 kwa 6:52 mu ·

  Mimi nielize!
  Kwani wamekwenda uko kwa ajili ya Allah ndio ukataka awape nguvu?.
  mashindano yenyewe yanadhaminiwa na pombe (tusker) inakuwaje tena umhusishe Allah na jambo alilioharamisha?
  Tusifanye masihara jamani na Muumba wetu ni hatari kubwa!

 3. abdulwaheed 28/11/2013 kwa 10:04 mu ·

  alwattan@
  c kusema kiubaya hapo wala sikumshirikisha ALLAH sbb ajuwa kuwa mambo hayo c kumshirikisha ALLAH isipokuwa tu najuwa ni ndugu zetu wale na timu yetu ndo maana nikasema ivyo kaka

  fei @
  maneno yako swadakta kabisa lakini ipo siku inshallah

 4. buhanan 28/11/2013 kwa 10:10 mu ·

  Tunatalent Zanzibar lkn ndio tunapigwa vita lkn one day yes.Sasa ni mbele kwa mbele tu Zanzibar Heroes oyeeee

 5. Ghalib 28/11/2013 kwa 10:36 mu ·

  Hongera Zanzibar heros , inshalla mamlaka kamili yako njiani tunaingia Fifa, na huyo mkoloni wa TFF tunamwambia hatutaki kuombewa FIFA, Zanzibar inahaki kuomba FIFA bila ya kuingiliwa na mtu yoyote, tunataka mamlaka kamili ya zanzibar, Tafuteni Tanganyika star yenu.

 6. nuevozenji 28/11/2013 kwa 12:32 um ·

  Naamini Zanzibar inauwezo mkubwa kimpira na maendeleo mengine ila waZanzibar wenyew hatujaamua kuwa na maendeleo kutokana na ubinafsi, husda na chuki ndani ya nyoyo zetu. Always” Together is one”.

 7. abdulwaheed 28/11/2013 kwa 12:50 um ·

  katika kundi letu Zanzibar ndio wa kwanza

  Zanzibar point 3
  Kenya point 1
  Ethiopia point 1
  South sudan 0

 8. Ghalib 28/11/2013 kwa 1:16 um ·

  Nauliza Tanganyika inaingia kama timu gani ?

 9. guzal 28/11/2013 kwa 3:08 um ·

  Jamani mzalendo hawa wachezajiwanawakilisha kombe la tusker………………………. tafadhali tusimtaje Allah

 10. guzal 28/11/2013 kwa 3:10 um ·

  Jeeeeeeee, Tanganyika imeingia haya mashindano ?????, nakama imeingia inatumia jina ganiiiiiiiiiiii??????????????????

 11. Hisba 28/11/2013 kwa 3:27 um ·

  Naona kiza mbeleni kwani katika kundi hilo walilopangiwa.

 12. alwattan 28/11/2013 kwa 5:56 um ·

  @Abdulwaheed
  Jambo lolote lenye shubya ya uharamu ni makosa kumtaja Allah hapo. Regardless inahusika ndugu yako au la.

 13. Makame Ame 28/11/2013 kwa 6:19 um ·

  @ Alwatan
  Tupe ilm!!!
  Jee wachezaji wenyewe haitowafalia kusali kwa vile wamo kwenye mashindano yenye shubya (shubha?) ya haramu?

 14. rastaman 28/11/2013 kwa 7:46 um ·

  Ni mashindano ya kimataifa ndugu zetu wenzetu wazanzibari wameha.gaika kwa muda wa dakika tisini na mungu kawajaalia wameshinda lazima tuwapongeze. Achani hayo munayoyafikiria hizo pombe mnazo pigia kelele zinauzwa zanzibar za kihalali na za local anza nungwi mpaka. Kizimkazi utaona mwenyewe vipi leo mnakandia wachezaji mpira?au mmekusudia lisens Huo mpira ndo haram? Na kama tunategemea Huo uhuru uwe wa kweli pombe iruhusiwe .makanisa yaruhusiwe mabaa yaruhusiwe iwe zanzibar huru.

 15. fey 28/11/2013 kwa 8:34 um ·

  Jamani ukimchunguza alacho kuku basi maisha humli!
  Kwani hizo foreign aid tunazozilalamikia kuwa tunanyimwa kupewa 4.5 zinatoka wapi? Sio wanazokatwa tax wafanyakazi? Kuna sex workers, mabar, maclub, waimbaji n.k. Kwa maana hiyo serikali wasichukue misaada kutoka nje.

 16. Makame Ame 29/11/2013 kwa 4:55 mu ·

  @ rastaman
  Ungemaliza tu huo uhuru unaoutaka. Bangi iruhusiwe, drugs ziruhusiwe, fisq (jinsi moja au nje ya ndoa) iruhusiwe, ndoa za jinsi moja ziruhusiwe. Almuradi no limitations. Au siyo? Sidhani karma tutafika huko. Labda usingizini.

  Na hao masheikh wanaotuwaidh tusiwaombee hao vijana kwa kuwa wamo kwenye mashindano ya shubha ya haramu wanatutaka tufanye nini badala yake? Tuombe wapotoke? washindwe? watoke kwenye mashindano? Wapate hidaya? …au nini?

  Tujue dua yoyote tutayoiomba hapo tutamtaja Allah. Tukumbuke dua ni ‘mukh’ ya ibada. Au ndio munatwambia kwamba tusiowaombee wenzetu kama vile walevi na wazinzi na kama hao kwa kuwa wamo kwenye haramnu yenyewe?

  Mbona ulingano kama huu utafukuzisha watu kwenye dini badala ya kuwakaribisha na kuwaunganisha? Au ndio shabaha yenyewe? Aste aste masheikh!

 17. kitine 29/11/2013 kwa 2:48 um ·

  Mungu ibarik timu yetu ili na sis tukumbukwe kam bado tupo dunia, isokuwa wenye ngu wametubana

 18. Ghalib 29/11/2013 kwa 5:50 um ·

  Tanganyika imeingia kama Kilimanjaro stars, imecheza na Zambia imetoka droo 1-1, Malizi tunamuambia kwamba Zanzibar haitaji kuombewa FIFA, itoeni Tanzania stars katika FIFA na miungize timu yenu Kilimanjaro stars ambao inayowakilisha Tanganyika. Zanzibar itapata uwanachama wenyewe bila ya kuombewa au kuingliwa na Taifa lolote.

 19. kifuudume 29/11/2013 kwa 8:04 um ·

  Utaifa Muhimu! tunawaponeza Kwa ushindi wenu – wetu 2-1 mbele Kwa mbele na ushindi upatikane
  wapate kututambua hao wasioitambua Zanzibar.

Comments are now closed for this article.