Dourado speaks out his mind

Written by  //  31/05/2015  //  Habari  //  Maoni 10

dourado-news1

dourado-news2
Dourado alizaliwa Septembar 20 mwaka 1929 na kusoma katika shule mbali mbali za Unguja ikiwemo St. Joseph ya Zanzibar katika mwaka 1939-1946.

Na baadaye kwenda Uingereza katika shule ya Royal London School of Economic katika mwaka 1962-1963.

Baada ha hapo alipata kazi katika serikali ya Kikoloni tangu mwaka 1947 hadi alipostaafu mwaka 1985 ambapo pia alipitia katika ngazi mbali mbali za uongozi akiwemo katibu mkuu katika wizara tofauti.

Nyadhifa nyengine alizoshika katika serikali ni pamoja na Mwanasheria Mkuu wa kwanza wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar mnamo Febuari mwaka 1964.

Aidha katika mwaka 1977 aliteuliwa kuongoza Shirika la Bima la Zanzibar, na kuwa meneja mkuu wa kwanza, na baadaye kuongoza taasisi ya kuangalia muundo wa sheria mbali mbali za nchi, ikiwemo za mahakama kuu.

Nyadhifa nyengine alizoshika wakati wa uhai wake ni kuwa mjumbe katika kamati mbali mbali katika sekta ya sheria ikiwemo kuwa mjumbe wa tume ya rais iliyokuwa ikitazama suala la mfumo wa chama kimoja au mfumo wa vyama vingi mwaka 1991.

Kuhusu Mtunzi

View all posts by

Maoni 10 katika "Dourado speaks out his mind"

 1. shawnjr24 31/05/2015 kwa 5:23 um ·

  Kumbe haya mambo yameanza kwa Former attorney Generaly Mr.Wolfgang Dourado, sasa yameangukia kwa Masheikh. na yeye pia kachukuliwa usiku wa manane kama Uamsho hapa inaonekana watoto wa Mwalimu wanaendeleza alichokiacha baba tu. Nakubaliana na wanaosema hakuna Muungano kuna Ukoloni tu. lakini kuna msemo unasema Jitolee mhanga ili wengine wasalimike na dhulma. Naam hicho kitu nitakionesha kama nilivyomwambia Mkarafuu humu.

 2. MAWENI 31/05/2015 kwa 10:33 um ·

  REST IN PEACE MZALENDO WA KWELI.
  HON. LATE MR. WOLFONG DURADO.
  VIJANA WA LEO MUONE NA MUJUWE HUU TULO NAO SI MUUNGANO NI UKOLONI KWA KILA SIFA YA UKOLONI. WA INGEREZA WALIONDOKA ZANZIBAR KWA MLANGONI NA KUMUACHIYA NYEREE KUNGIYA KWA DIRISHANI KUENDELEZA UKOLONI KWA JINA ATI, MUUNGANO.
  HATA HIYO SHARIYA YA KIKANDAMIZI : DETENTION PREVENTION ACT. IMETUNGWA NA LAWYER MNGEREZA ALIOKUWA AKIFANYA KAZI SERIKALI YA TANGANYIKA, NA KUTUMIWA ZANZIBAR DHIDI YA WAPINZANI.
  NA HIZO ARTICLES ZA UNION ZIME ANDIKWA NA WAINGEREZA HAO HAO. DURADO HAKU SHAURIWA KUHUSU MAKUBALIANO HAYO WALA HAKUWAPO KWENYE MAZUMGUMZO HAYO. WAKATI YEYE NDYE ALIE KUWA MWANA SHERIYA MKUU WA ZANZIBAR.
  NYERERE NA HAO WAINGEREZA WAMEONA HUYU DURADO ATAKUJA MZINDUWA KARUME . NA KUMHADHARISHA NA MALENGO MABAYA YA NYERERE.
  KUNA WAZANZIBARI WALOPELEKWA TANGANYIKA KABLA YA DURADO NA KUWEKWA MAKOROKORONI KWA MIKA KUMI AU ZAIDI BILA HATA KUPELEKWA MAHKAMANI. HI STRUGLE YA KUIPIGANIYA ZANZIBAR IMEANZA ZAMNI NA SASA NEW GENERATION INA ENDELEZA MPAMBANO YA UKOMBOZI. MBIYO ZA KIJITI ZA UKOMBOZI. MPAKA TUFIKE FINISHING LINE.

 3. Mzambarauni Takao 01/06/2015 kwa 1:33 um ·

  Ilikuwaje Karume akakubali Mwanasheria wake Mkuu, achukuliwe kiholela namna hiyo. Na wakati wa zama zile ilikuwa Nyerere na Karume paka na chuwi. Mpaka akahakikisha kamfanyia njama za kumuuwa.
  Mbona walipochukuliwa wale vijana wa kijeshi kwa amri ya Nyerere kupelekwa Msumbiji, Karume huyohuyo aliamrisha meli iliyowachukuwa igeuze njia na kuwarejesha. Ikabaki Nyerere kutahayari na kuomba radhi.
  Amani Karume alimlazimisha(alimpa ultimatum) Mkapa awarejeshe wale WaZanzibari aliwowateka nyara waliodai kujitenga Pemba kwenye Umoja wa Mataifa chini ya saa 24 au yatakuwa mengine. Mbona aliwarejesha.
  Hawa Watongonyoko wanakutizama udume wako uko vipi. Ukiregeza matako wanakutia @%$&?*

 4. Ajinomo 01/06/2015 kwa 2:17 um ·

  @shawnjr24
  Kusema kweli kuna gep kubwa baina ya hawa masheh wenu wa muamsho na mwana harakati kam huyu Dorado , Dorado alikuwa mpigania maslahi ya znz, na alikuwa anasema kweli hana kinyongo lakini mashehe wenu wa muamsho siwatu wakeli ingawa nyie mnawaamini kupindukia kiasi, hawafai kuwaonea huru anaeye faa kumuonea huruma ni mmojatu, alie ingia ndani ya ngoma asioijua, mselem, lakini waliobaki wavune walichokipanda

  • shawnjr24 02/06/2015 kwa 1:19 mu ·

   @Ajinomo
   Soma hio story halafu utaiona sehemu nilioikusudia.Halafu msema kweli ni mtu ana simama na maneno yake bila ya kuyumba. Kwa Masheikh wa Uamsho bado sijaona kuterereka kwao kama ndugu zetu waliokwenda dodoma.

 5. muwattin 01/06/2015 kwa 7:52 um ·

  We Ajinomo funga domo lako chafu unazungumza nini wakati laana ishakuandama na Mungu azidi kukudamirisha usije juu,mtakufa kwa chuki zenu ayyuhal jaahiluuna.

 6. MAWENI 01/06/2015 kwa 9:15 um ·

  Hebu Ajinono soma vizuri hiyo interview yahuyo mwana harakati mzaledo alotanguliya mbele ya haqi. Madai yake haya kuwa tafauti sana na wana chopiganiya viongozi wa muamsho na Wazanzibari wengi kwa jumla wa wakati wa leo. Isipo kuwa wale bado wanaongozwa na fikra za mwenyekiti alie asisi huu ukoloni unaitwa Muungano.
  Durado aliye kuwa Zanzibar ina muumma myoni mwake hakumuogopa Nyerere. Alipelekwa jela huko bara wakati wa utawala wa Jumbe ambae alifanya nae kazi kwa karibu sana katika juhudi za kurejesha Zanzibar mamlaka yake na Heshma yake. Bashir Suwanzi ( Mgana) Ambae alisilumu Zanzibar alikuwa Jaji mkuu Zanzibar , vile vile alimsaidia Jumbe katilka juhudi zake hizo. Nyerere na huyo akamfukuza Nchini.
  SAFARI IMEANZA MBALI TUTAFIKA INSHA ALLAH!

 7. khamisi 01/06/2015 kwa 11:24 um ·

  yaani kumbe haya mambo ya watu kuvamiwa usiku wa manane na kukamatwa hayajaanza jana wala juzi halafu mtu anatiwa jela kwa kutofautiana na ccm na Nyerere zamani kulikuwa na mambo ya ajabu sana ndio maana mimi nasema huwezi kuwa mtetea znz kama hujawahi lala jela angalau kwa nusu saa the rest of us are just Go along to get along kila mwenye uchungu na visiwa hivi lazima utasikia alionja jela.

 8. Ajinomo 02/06/2015 kwa 1:50 um ·

  @muwattin
  Sikiliza unajifanya mjuaji kupindukia kiasi hebu tuoneshe walio kipigania muamsho hata ukawapa sifa hizo na kutulazimisha sisi tuwasifu,mimi nnachokijua kuwa dua zao zimewazuru,wametuacha tuna pumua, mkitunitukana shaurienu lakini ukweli nimesema, au nifungieni ndio silaha yenu hataki kukosolewa

 9. Alhabib 02/06/2015 kwa 4:22 um ·

  we mkarafu ufungiwe mara ngapi tena au unajiona shujaa kwakua umebadili jina

Comments are now closed for this article.