CUF: Tutaamua na UKAWA

Written by  //  14/12/2016  //  Habari, Makala/Tahariri  //  Maoni 4

lipumba+seif

Na Jabir Idrissa

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimetangaza kwamba katika kushiriki uchaguzi mdogo wa udiwani Bara na ubunge Dimani Zanzibar kitasimamisha wagombea kutegemea na maamuzi ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).

“… Kwa sababu hizo, CUF inaendelea na mazungumzo na vyama vingine vinavyounda UKAWA kuona namna bora ya kushiriki uchaguzi hizi itakayohakikisha kuwa tunaubwaga CCM,” imesema taarifa ya chama hicho.

Taarifa hiyo imetolewa jioni hii kufuatia kikao cha Kamati ya Utendaji ya CUF, chini ya mwenyekiti wake Maalim Seif Shariff Hamad, ambaye ni Katibu Mkuu wa CUF – Civic United Front.

Taarifa imesema utaratibu wa ndani ya chama katika kuwapata wagombea utatekelezwa kama kawaida kupitia ngazi husika za chama, lakini maamuzi ya nani atagombea wapi, yatatolewa baada ya mashauriano na vyama vingine vitatu vinavyounda umoja huo.

Mbali na CUF, Ukawa ni umoja unaoundwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), NCCR-Mageuzi na National League for Democracy (NLD).
Hivi karibuni, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ilitangaza ratiba ya uchaguzi mdogo inayohusisha viti 22 vya udiwani Bara na kiti cha ubunge jimbo la Dimani, Wilaya ya Magharibi, Unguja, ambacho kimekuwa wazi baada ya kifo cha Hafidh Ali Tahir aliyekuwa mbunge hapo.

CUF imeshughulikia pia suala la tamko la Mkurugenzi wa Uchaguzi kwenye Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhani Kailima linalosema CUF italazimu kufanya uteuzi wa wagombea kwa utaratibu wa wagombea wake kuidhinishwa na mwenyekiti wa chama na katibu mkuu.

Kailima akitangaza sharti hilo alisema linatokana na mazingira ya chama hicho kuwa katika mgogoro wa uongozi. Ametaja kuwa sharti hilo linatokana na kipengele 4(5)(iii) cha Sheria ya Uchaguzi alichodai kuwa kimewekwa kwa ajili ya chama kilicho katika mvutano na kuwepo pande mbili.

CUF katika taarifa yao hiyo imesema

“Kailima amekitoa wapi kifungu cha Sheria au Kanuni alichokitumia kuweka sharti hilo la ajabu tena kwa chama kimoja tu. Mojawapo ya misingi ya sheria ni kutokuwepo kwa ubaguzi katika utungaji na utekelezaji wa sherua. Huwezi kuwa na sharti linalokihusu chama kimoja tu katika kuthibitisha uteuzi wa wagombea.”

CUF imesema masuala ya kuwapata wagombea wa chama yanaongozwa na Katiba ya chama ya 1992 (Toleo la 2014) na Kanuni za Uchaguzi wa ndani ya chama. Fomu za uteuzi wa wagombea kutoka Tume bya Taifa ya Uchaguzi siku zote huthibitishwa na Katibu wa chama ngazi husika na kwa ubunge na madiwani imekuwa ni Katibu wa Wilaya.

“Kitendo cha Kailima kuja na sharti lake kutoka mfukoni kuihusu CUF katika chaguzi hizi ndogo ni ukiukwaji mkubwa wa sheria na taratibu zza uchaguzi na ni muendelezo wa hujuma za dola na taasisi zake dhidi ya CUF kwa kumtumia mtu anayeitwa Ibrahim Lipumba. CUF haitozikubali hujuma hizi na itazilinda na kuzitetea haki zake za kiaktiba na kisheria kikamilifu,” imesema taarifa hiyo.

Kamati ya Utendaji imepongeza wanachama wake wote kwa ujasiri wa kukilinda chama chao kwa “mapenzi na nguvu zao zote dhidi ya njama za wanasiasa muflisi ambao wamekubali kujiuza kwa bei rahisi kutumikia watawala wakidhani wanaweza kukivuruga chama hiki… inawahakikishia Kamati ya Utendaji iko imara na itaendelea kufanya kazi ya kukilinda na kukitumikia chama na wajue kwamba tutashinda mapambano haya.”

Profesa Lipumba ambaye alijiuzulu kwa hiari yake 5 Agosti 2015, aligeuka na kubadili kauli Juni mwaka huu alipoamua kutengua uamuzi wake na kutaka kurejea kitini. Uamuzi huo umezusha mvutano ambao umemfikisha kuvuliwa uanachama na Baraza Kuu la Uongozi la Taifa (BKUT) Agosti mwaka huu.

Anapigania kujihalalisha katika uamuzi ambao umechangiwa na uamuzi wa Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi wa kusema anamtambua kama mwenyekiti halali.

Kwa hatua hiyo, Bodi ya Wadhamini ya CUF imefungua shauri Mahakama Kuu kuomba mahakama imtake Msajili aache kuingilia maamuzi ya Chama hicho. Kesi inaendelea mahakamani.

mwanahalisi

Kuhusu Mtunzi

View all posts by

Maoni 4 katika "CUF: Tutaamua na UKAWA"

 1. Z.I.7 16/12/2016 kwa 4:16 um ·

  Asili yetu sisi na wanyama ni moja katika maumbile lakini MOLA wetu akapendezewa na kutufanya sisi wanaadam kuwa ndio bora kuliko viumbe vyote vingine kwahiyo akatupa uhuru na akili ya ziada kuliko viumbe vyengine.

  Lakini kwa bahati mbaya sana huku kwetu africa ziada hiyo tuliopewa imekuwa ni laana badala rehma.

  tizama nchi yetu inavopelekwa, pale tiipojaribu kutumia ziada tuliopewa tuliweza kuwa wanaadam lkn hali iliyeyuka pole pole na imefikia hali kubadilika kabisa kwa wote wanaongoza na wanaongozwa ,

  vyama vya siasa vyote ni vya watanzania ambapo madhumuni hassa nikushindana kuwaletea maendeleo wananchi na nchi yenyewe kwa ujumla lkn tizama unyani uliotupata kundi moja limefikia kuvunja kanuni linavotaka na wala ule mkataba au katiba hawana habari nayo ila pale wanapotaka kufisidi wengine, kwamfano hii inayoitwa tume inapata wapi ujasiri au amri ya kuvunja katiba ya nchi kwa kiingiza matakwa yao ktk kanuni za tume?

  wanalazimisha awe mwenyekiti tena wa CUFwakati yeye mwenywe alishajiuzulu
  wanalazimisha mabank yamfungulie account ili wapate kuchota fedha za ruzuku ya cuf kwa kupitia lipumba. bodi ya wadhamini ndio wahusika lkn aaa! anaetwa msajiliwa vyama anavuja na kuvuruga sheria hana wasiwasi. polisi ndio wasimamizi wa sheria badala kumchunguza msajili na tume yake kwa nini wanafanya kinyume na sheria wao ndio wanatumwa kusimamia kuvunja sheria, kwa hali hiyo ivi kweli tanzania ni moja? na itakwenda mbele?

  au tanzania ni yakundi fulani! na wao wakotayari iwe maisha yote ni mbuga ya wanyama kundi hilo kwa kuvunja katiba na sheria libakie kwenye ukubwa au madaraka! na liwakule wadogo!

  maana nchi ilio moja ya wanadam haiwezekani kuwa kila siku sheria zinavunjwa na huku mbinu zinatengenezwa kuwahujumu watu wa nchi hiyo hiyo kukawa na ubinadamu hapo patakuwa panaelekea kubaya zaidi ya wanyama. inaweza ikaonekana watu wanakwenda na kurudi unaweza ukawafanyia unyama na hali ikawa ya kinyama lkn kwasbb ni wanaadam iko siku wakarudi ktk hali yao ya asili wakauliza kwanini kanuni na sheria tuliojiwekea zinavunjwa?

  kwanini kundi hili linajikweza na kutudhalilisha sisi?

  kwanini wanatuona sisi niwajinga?

  kwanini wapange mbinu na hujma wakati sote ni watoto wa nchi mojaa?

  kwanini wazitumie mahkama kutuadhibu bila sabb?

  kwanini wapindishe haki?

  kwanini kwanini kwanini! zitakuwa nyingi yatayokuja baada ya maswali hayo.

  MOLA mweza ndie anaejuwa lkn kiukweli nchi yetu haina utawala wa sheria kila mmoja anamsifia mfalme kavaa joho

  Hizi ni vurugu za kutengezwa na WANAMBUGA.

 2. zanzibaaa 17/12/2016 kwa 4:19 mu ·

  Unajua hiyo tanzania sasa imebaki watu kujifunga mabomu wakaasubir viongozi wamekusanyika wakajiachia hakuna jengine , mana wanawanyanyasa raiwa wao vibaya sana, haswa huyo makufuli nimnafiki sanasana huyo rais tena muongo eti majipu. Anawafanya watanzania wajinga sana ndo kawaida ya viongozi wa ccm wanapofanya mambo yao wanazania watu wanawaamin no, watanzania wasasa sio ma mbumbumbu kama wanavyo fikiri. Sasa wasubiri watu wajifunge mabomu tu hakuna namna nyengine sasa kama askari nimtu wakuisimamia sheria leo yeye ndo anaemuogopa kiongozi utazan ndo mwenye sheria kwa tamaa zao zamda mfupi mwisho wake fujo linapotokea yeye huyohuyo askari ndo anaekoseshwa usingizi. Hebu maaskari wahuko tanzania badilikeni wacheni kuigopa ccm jiaminini na nyinyi muizibiti ccm . Naamin mukiamua kweli kuizibiti ccm hawana uwezo wakufuta kikosi kizima cha jeshi hao lazma wanyooke lkn tatizo kuu watanzania kama hamjalijua ni jeshi ndo linalo waleo vibaya ccm. Lkn sasa wakat umefika watanzania waliopo huku ugenini waungane wachangie wale alshababu wawatie adabu hawa viongozi wa ccm kuanzia kikwete, mkapa, mwinyi na hao viongozi walio ishikilia bara na kule zanzibar mana la sivyo watawakhanisi hawa ccm miaka nenda miaka rudi, haiwezekan leo wanafika kusema hata vile viwanja vyenu watavichukua ujue imeachiwa sana hii serikal kutesa watu, wakishaona sasa watu wanajiripua mmoja mmoja kwenye mikutano yao sasa watatuongoza kwa heshima, leo nimesikia pemba wanapanga sasa watu wavae mabomu mana wameshachoka haliyamwisho kabisa, sisi pale kenya tunachanga tu kuwatia adabu serikal nanyinyi wa tz sasa mujiunge haswa mukiopo huku nje muwalipe alshababu wakunyoosgeeni nchi ile mana ccm wale hawatosheki na aman na madaraka sasa waone fujo ipoje na wale majish pia aman imekaa miaka mingi wanaham na fujo

 3. zanzibaaa 17/12/2016 kwa 4:29 mu ·

  Haiwezekan mkuu watume tena alifika kuitwa jaji anasema mambo yakipumbavu kias chamwisho kabisa hakuna mtanzania ambae asie jua kuwa huyo lipumba alijiuzulu halafu huyo mkuu watume eti anatetea yani amejivunjia heshima yake yote yote mtu unasoma miaka yote huoni uchungu miaka yako ulokaa kitako unasoma ? Unahiyari heshima yako iondoke kwa mda mfupi sana mana uongozi niwamda heshima yako ndo yakuendelea pesa sio kama utakuwa nayo mpaka utazikwa nayo.
  Tatizo jengine kile chama cha ccm pale tanzania hakina watu wajanja sana nakuambieni kingekuwa na watu wajanja wangeliwafanyia mema mengi raiya wao lazma wangeviuwa tu upinzani ndo nchi waarab zilivyo hakuna siasa mana yanini utake siasa wakat aliekuweko anatutosheleza? Sasa wao ccm wanaona wakiwatia ziki raia na wao ndo watapata kutawala no , unawatia hasira zaid raia itafika wakat vuguvugu linakuja juu ghafla unakuta kiongozi anaondolewa madarakan

 4. zanzibaaa 17/12/2016 kwa 4:35 mu ·

  Baazi ya viongozi wa jeshi la tanzania jipangeni muipindue hiyo ccm lasivyo nyinyi na wajuukuuwenu mutakuja kustaafu na umaskini juu mana fupa hupewa nusu ya majeshi wakiokuweko juu tu. Hiyo serikali niyakuipindua tu mbona wenzenu nchi zakaribu wameweza nyinyi mshindwe? Uonyesheni uwana jeshi wenu acheni uoga wazee wenu watapigwa mabomu yamachozi mpaka badilikeni musishindwe na majishi yakikoloni yakiweza kupindua mukashindwa nyinyi majeshi ya vizazi vipywa . Hao viongozi wa ccm wanawatumikieni tu hao kukupeni bia nusu bei na vipolo vya mchele ukizeekama maskini unaanza kuomba pensheni ikisha badikikeni majeshi watanzania mumelala sanaaaaaaa

Comments are now closed for this article.