Breaking news! Hamadi Rashidi kufukuzwa chama cha ADC kwa Usaliti

Written by  //  23/01/2016  //  Habari, ZenjiLikiz  //  Maoni 9

12573874_219187201752238_6420853251984854292_n

Mwenyekiti ADC Bwn.Miraji ameviambia vyombo vya habari kuwa Hamad Rashid ni lazima afukuzwe.

Hamad aliyekuwa mgombea wa ADC ametuhumiwa kushirikiana na CCM kuhujumu Wazanzibar, Hamad ametajwa kuunga mkono uchaguzi kurudiwa!

Pia anatuhumiwa kwa ubadhilifu wa pesa na kutaka madaraka kinyume na utaratibu.

Habari zaidi zitakujieni baadae in shaa Allah, stay tuned

Kuhusu Mtunzi

BLOGGER/DEVELOPER/JOURNALIST/BROADCASTER

View all posts by

Maoni 9 katika "Breaking news! Hamadi Rashidi kufukuzwa chama cha ADC kwa Usaliti"

 1. Piga nikupige 23/01/2016 kwa 8:58 um ·

  CCM wasivyo kuwa na haya, watasema maamuzi hayo hawayatambuwi.

 2. salali 23/01/2016 kwa 9:12 um ·

  Tatizo Rasi ukikosana na wazazi wako Mamma na Baba hutofanikiwa maishani mwako na kila ukionacho chema ni nuksi kwako.

 3. fey 23/01/2016 kwa 9:29 um ·

  Sasa itakuwajee suala la kugombea uchaguzi? Maana huyu kagandana na Balozi kipindi hichi na mwisho kaahidiwa atakuwa makamo wa kwanza kwa vile CUF hawatoingia. Mwenyewe alikuwa kashapata matumaini maana alikuwa kashaanza kazi yakuhadaa watu wa CUF anunuwe kura zao. Nafikiri CCM wangempa pesa zakufanyia hayo ili waikomowe CUF .

  Uanachama number one ndio ulimuhashua akajiona km kwamba anajua siasa kumbe kojozi.

 4. Ghalib (Kiongozi) 23/01/2016 kwa 9:45 um ·

  Aende court tena kupinga maamuzi

 5. Suleiman Alrumhy 24/01/2016 kwa 7:31 mu ·

  Mmh.
  Haya.!
  Mi napita tu.

 6. kwaomtu 24/01/2016 kwa 12:44 um ·

  Semeni ukweli hakukuwa na Balozi pale isipokuwa mulitafuta Waarabu na Wataliano wanaomiliki mahoteli ndio mukawapeleka pale waonekane Mabalozi. Hata huyo Consulate wa Uchina hakuenda rabda wa Msumbiji.

 7. PONDA MALI 24/01/2016 kwa 10:05 um ·

  Iwe mwisho mwema ameen

 8. makunduchi 25/01/2016 kwa 8:57 mu ·

  @wakitongani
  unajua unachokitenda ndani ya moyo wako unajifafahamu kwamba wewe ni mtanganyika ambae unauchungu na wazanzibari kwani unaijua historia yako vizuri na kifpi ni hii””mamako alikuja zanzibar na kufika pemba kijiji cha wambaaa na huko hakua na kazi yoyote isipokua alikua anazini na waarabu ati apate chotara na ukapatikana wewe inga si chotara na malipo yake yalikua ni kipande cha halua na tosi”sasa unapokuja na mawazo ya kijinga kama hayo ni kujithibitishia wazi wazi kwamba kwamba wewe ni mtumwa ambae huna baba na utaendelea kua mtumwa pumbavu mmoja we.

Comments are now closed for this article.