Bad News: Mh.Dadi Faki Dadi afumaniwa na mtoto wa Mke wake, angalia vedio kilichojiri

Written by  //  27/05/2016  //  Vidio, Habari, Habari-Picha, ZenjiLikiz  //  Maoni 6

dadi-faki

Breaking news

Aliekua Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mh. Faki Dadi Faki amekutwa guest akiwa na mtoto wa mke wake wa ndoa mchana huu. Na inasemekana ni mtu na mpenzi wake, ila baada ya mtoto kutiliwa mashaka akajaribu kuficha ficha leo ametegwa na kunaswa kwenye mtego ulioshuhudiwa na mama yake mzazi (mtoto akikutwa kitandani na baba wa kambo).

Hayo yalifanyika katika hotel ya excutive iliopo pembeni ya makao makuu ya uhamiaji.

Hii ni shahawa au laana??

Kuhusu Mtunzi

BLOGGER/DEVELOPER/JOURNALIST/BROADCASTER

View all posts by

Maoni 6 katika "Bad News: Mh.Dadi Faki Dadi afumaniwa na mtoto wa Mke wake, angalia vedio kilichojiri"

 1. MAWENI 27/05/2016 kwa 9:47 mu ·

  Ujahil na na kumfata shetani.

 2. Suleiman Alrumhy 27/05/2016 kwa 10:55 mu ·

  Nasikitika kwa kua alikua msemaji wetu mzuri wa C.C.M na kuilani pamoja na kuwalani maCUF kwa kuwafanyia na kuwapikia vitimbi kwa upande wa PEMBA kama alivyo Mh. Vuai Ali Vuai kwa upande wa UNGUJA.

  Mungu atamsaidia, pia serikali imsaidie auepukane na hatua kali zinazostahiki kwa kitendo chake dhidi yake.

 3. salali 27/05/2016 kwa 3:57 um ·

  Wamebaka demokrasi na sasa wanabaka watoto zao lana ju ya lana. Hiyo ndio sifa ya serikali ya maruhani.

 4. zenji_forever 27/05/2016 kwa 4:48 um ·

  He is a staunch CCM .Shame on him and the Ccm he represents.
  Laanatullah.

  Sasa wakamtafute Jecha halan awape philosophy and strategy ya kufuta “Matokeo ya Zinaa” ili warudie Zinaa !!

 5. MKATABA 27/05/2016 kwa 7:23 um ·

  @ZENJI_FOREVER
  Ni kweli ulioyasema wakamtafute Jecha Salim Jecha awape philosophy and strategy ya kufuta “Matokeo ya Zinaa” ili warudie Zinaa !!

  Na hassa ukiaangalia Mamlaka alionayo Jecha Salim Jecha atafuta Zinaa,na hakuna anaweza kumuhoji kwa vile ndie mwenye KAULI ya mwisho hata Rais hawezi kuiingilia KAULI ya Jecha.

  Na huyu ndugu yetu mwanamtandao mwenzetu yuko wapi tuka sikia maoni yake ??

 6. MKATABA 27/05/2016 kwa 7:24 um ·

  KISISINA UPOO

Comments are now closed for this article.