Azam yaleta meli nyengine mpya

Written by  //  11/01/2017  //  Habari  //  Maoni 5

Mali mpya ya Azam Sea  Link ikiwasili bandarini Zanzibar

Mali mpya ya Azam Sea Link ikiwasili bandarini Zanzibar

Kampuni ya Azam Sea Link imeleta meli nyengine mpya. Ikiwa na lengo la kurahisisha usafiri kwa wananchi baina ya Unguja, Pemba na daressalam kampuni imeleta meli nyengine itakayokidhi mahitaji ya usafiri wa baharini.

Huu ni muendelezo baada ya mafanikio ya meli yake ya m wanzo ya Azam Sea Link 1

Kuhusu Mtunzi

View all posts by

Maoni 5 katika "Azam yaleta meli nyengine mpya"

 1. sadimba 11/01/2017 kwa 8:55 mu ·

  Henda tukaambiwa ni moja katika mafanikio ya mapinduzi.

 2. Ashakh (Kiongozi) 11/01/2017 kwa 10:55 mu ·

  Bahati hajaitwa Muarabu huyo mletaji

 3. Fahur 11/01/2017 kwa 11:37 mu ·

  Karibu Azam Sealink 2 njoo tukupakiee ndizii

 4. kwaomtu 11/01/2017 kwa 1:59 um ·

  Ni kazi nzuri ya Azam tatizo lake muoga wa ushindani anataka kwenye usafiri wa bahari atawale yeye (monopoly) tu kama kunguru anavyotaka kutawala anga ya Zanzibar hataki kuona ndege wengine wakiruka.

 5. Abdul Zakinthos 12/01/2017 kwa 10:01 um ·

  Tunaposema Azam tujue Azam sasa imekuwa si bakharesa tu bali ni shareholders kibao wakiwemo viongozi wa Serikali kila mtu ana hisa,

  linapotokea tatizo la kuzama wote hukimbia na tukaambiwa kuwa wenye share hawajulikani.

  Bakharesa sasa anamilikia less than 30% ninavosikia sasa inaweza kuwa opposite, yeye 70% wengine 30%

  BY THE WAY– Nimeambiwa meli hii itakuwa saivi tunaruhusiwa kupeleka magari BARA NA ya Bara kuja Unguja kwa kibali cha miezi 3 bila ya kulipa ushuru.

  Unawacha gamba la gari unasafiri na gari yako—ukizidi miezi 3 Unalipa difference ya ushuru mamilioni.

  sasa tuone itawezekana au ndo Ulaji kwa TRA BARA? maana wataanza kutupekua kila kitu..

  Pili hiyo gati ya kushusha na kupakia magari tunayo Zanzibar au ndio mwanzo wa kutumbukia baharini?

Comments are now closed for this article.