ASKARI WA SMZ(MAZOMiBI) WALIOCHINI YA UONGOZI WA BALAHAU SHEIN, JANA USIKU WALIWAVAMIA WANA CUF KWA LENGO LA KUWAUWA HUKO PANGAWE.

Written by  //  07/12/2016  //  Habari  //  Maoni 22

IMG-20161207-WA0006

Jana majira ya saa 3.30 usiku Askari wa Vikosi vya SMZ (Mazombi) Wakiwa katika gari aina ya Pickup(nyeupe) ilobeba askari wapatao 20 wakiwa na silaha za moto na kienyeji Walivamia Barza ya Wana CUF Taveta huko Pangawe Wilaya ya Magharib “B” Mkowa wa Mjini Magharib Unguja,Barza ambayo imo katika hatuwa za Mwisho za kukamilisha Uzinduzi wake Rasmi (Baraza ya kusini) umaarufu wake kwani Wengi wa Wana Barza hiyo ni Wana CUF Wenye asili ya Kusini Unguja(paje,jambiani,bwejuu, Muyuni.

Muungoni,Makunduchi) Kuwashambulia Wafuasi wa CUF kwa Mapanga,Mikuki,Nondo,Minyororo,Mashoka,Wafuasi hao wa CUF waliovamiwa ghafla Walikuwa katika barza yao halali bila ya kutarajia kama jana yalikuwa yamepangwa Mauaji dhidi yao. Zahma kubwa ilitokea juu ya Kujinusuru na Maisha yao na ikapelekea kuhujumiwa kwa Mwenyekiti wa Baraza Suleiman Vuwai Lobilo (56) Aziz Mhamed Ali,(42) Mbaraka Pandu Makame (40) na Mzee Maulid Abdalla Chawa (72) ambae huyu alikuwa amelala hapo barazani Mazombi walipovamia na Walimpiga vibaya sana na kumuibia simu, na pesa. Baada ya hujuma hizo kufanyika Askari ( mazombi) waliondoka kwa haraka
Tukio hilo limeripotiwa polisi kituo kidogo cha kijito Upele na Majeruhi wa unyama huo kupelekwa hospitali na Wana CUF Wenziwao kwa ajili ya Matibabu
Picha ni Mzee Chawa (72) alie hujumiwa akiwa amelala hapo barazani wakati wa Uvamizi.

Kuhusu Mtunzi

BLOGGER/DEVELOPER/JOURNALIST/BROADCASTER

View all posts by

Maoni 22 katika "ASKARI WA SMZ(MAZOMiBI) WALIOCHINI YA UONGOZI WA BALAHAU SHEIN, JANA USIKU WALIWAVAMIA WANA CUF KWA LENGO LA KUWAUWA HUKO PANGAWE."

 1. alwattan 07/12/2016 kwa 10:20 mu ·

  Poleni sana wazanzibar wenzetu Allah awape subra na waliojeruhiwa basi Allah awape shifaa ya haraka.
  Mtume wetu aliwahi kusema kwa kuwataja aina zatyu ambao ni wa Jahannam, na akasema hajawahi kuona. Miongoni mwa watu hao ni wa aina ya hawa mazombi ambao huoita mitaani na kupiga wanaadamu wenzao bila ya ssababu. Wajijue tu wao na waliowatuma basi Mtukufu wa darja kawatabiria kuwa ni watu wa Motoni.

 2. sale 07/12/2016 kwa 2:01 um ·

  Duwa ya Amani iyo inawafichua wanafik..

 3. abuu7 07/12/2016 kwa 6:31 um ·

  wakati unakaribiya. nguvu ya umma haiko mbali .tuliiyaa.
  jitaarishe kuwa fiti

 4. SHAKUSH 07/12/2016 kwa 8:21 um ·

  Kujifunza useremala ni kazi nzito. Imejaa matatizo na hasa kwa vile hakuna formular makhsusi ya kazi hiyo. Sana ni utumiaji wa nguvu ukichanganya na akili ndio furniture hupatikana. Zana zake zaweza kukucharaza mtumiaji. Msumeno. Nyundo. Misumari. Patasi. Panga. Kisu. Cherehe. Vyote ni vitu vina hatari zake. Ndio ukaona kazi hii haina mvuto wa kutosha na watu hawajiungi nayo sana. Wakati umefika sasa hakuna raha bila karaha. Tubebe misumeno. Nyundo na vyenginevyo tujifunze useremala kwa kutengeza maisha. Wengi wetu watajeruhiwa na zana hizo lakini tukihitaji mema tusiogope shari ya misumeno na nyundo. Wewe ukipata majeraha ya misumeno unaweka historia. Wanao na wajukuu watajuwa baba au babu alivaa ubinda kututafutiya maisha.
  Nawatakiya safari njema.
  Shikamoo Bwana Mzeekondo

 5. Abdul Zakinthos 07/12/2016 kwa 10:15 um ·

  YATAISHA TU maana Magufuli amekataa suluhu na UN waheshimiwa wameshasema wametoa option mbili kabla ya hatua rasmi

  Mazungumzo ikishindikana ndio wachukue hatua walioitarajia Tuombe Allah atujaalie salama

 6. Jino kwa Jino 08/12/2016 kwa 3:46 mu ·

  Je ? Ni lipi bora lakupigwa nyumbani kwako au kuuliwa ukishdwa kujitetea au la kupigwa nyumbani kwako ukauliwa ikawa umejitetea nalitupa suala hili kwa sote Wazanzibari bila ya kupeleka ujumbe mzito kwa mazombi basi tujue watatudhalilisha mpaka kiama . Mazombi washafurutu ada na binadamu anapofurutu ada basi hugeuka mnyama na myama yyote anapokuwa ni tishio kwa binadamu au wanyama wenzake basi dawa yake ni kuuliwa au hta wanyama wenzake hukusanyika na kumuuwa au pengine huwa wana mla ili kuondosha hatari .Wakati umefika wa kuondosha hatari kwa mikono yetu na kuondosha ubaya hili si la mmoja ni letu sote ni letu sote .Wazee wa Unguja na wazee wa Pemba wakati umefika wa kukaaa pamoja ili muondoshe dhulma hii kama hamutaki subiri mupate idhilali ya kutiwa vilema na kunajisiwa na mwisho kuuliwa .DAWA YA MOTO NI MOTO .Cuf haiwezi kuwatetea kwa chochote haina jeshi wala polisi wala valentia wala sungu sungu ,unaweza fanya wajibu wako.

 7. SHAKUSH 08/12/2016 kwa 4:48 mu ·

  SIMBA MWENDA KIMYA NDIYE ……………..

 8. chatumpevu chatumpevu 08/12/2016 kwa 5:01 mu ·

  Unajua vitendo hivi vya uchokozi dhidi ya wafuasi wa CUF hitakoma. dawa ni moja tu. Kwa kuwa wao wana banduki na sisi hatuna kitu basi isiwen ni sababu ya kutolipiza kisasi au kutokujihami. mbinu “soft strategies” zinaleta matokeo mazuri zaidi mojawapo ni kutumia inteligence ( ushushushu ) wa kuwafahamu kwa majina ni nani hao mazombi wanaoendehsa vitendo hivyo. wakijulikana tu basi kazi imekwisha kwa sababu tunaishi nao, tunacheza nao, tunaenda viwanja nao, tunaogelea nao, tunavinjari nao, na mengine tel. Kujipenyeza ndnai y amfumo wa mazombi kwa kutumia mbinu maalum ingesaidia kuwabaini na kushughulikiwa wakiwa kama raia mitaani, maliza kazi. vyenginevyo upumbavu huu utaendelea mpaka mwisho. Zanzibar tunajuana na hao hao mazombie wamo wengine wanaoweza kusema ni nani anofanya vitendo hivyo vya kiharamia, anakaa wapi, anatoka wapi. We know each other. Tunajuana.
  Vyenginevyo, kila siku tutaendelea kushuhudia ubabe usiokwisha. Niwape pole sana wenzetu walioumizwa na uharamia huu. Allah atawapa subra.

 9. moyo 08/12/2016 kwa 6:16 mu ·

  Sisi wengine hatuwezi kujitetea mpaka malaika wetu atupe ruhusa ya kujitetea, kwa sababu hatuwezi kufanya lolote ila kwa amri yake na chini ya fikra zake na mawazo yake, kwani sisi hatuna uoni sahihi mpaka malaika wetu atuelekeze.

  ZIDUMU FIKRA ZA KIONGOZI WETU MILELE.

  TULIMCHAGUUUUA SISI WENYEWEEEEE, ALICHO AMUUUA NDIO SAWA KWETUUUU.

 10. mohamed 08/12/2016 kwa 6:31 mu ·

  Simba mwenda kimnya ndie mgonjwa @ shakush ;(.
  “DAWA YA MSHENZI NI KUA MSHENZI ZAIDI YAKE”
  Kama hawajafanyiwa hawa hadithi zitakua kila siku

 11. SHAKUSH 08/12/2016 kwa 8:32 mu ·

  Shukran Bwana Muhammed. Na hii jee?
  Mtaka tenda ………… ………

 12. Jino kwa Jino 08/12/2016 kwa 9:54 mu ·

  @Chatu mpevu kweli weye mpevu hawa mazombi sio juja wa majuja ukasema wao wanakaa kwenye mashimo tena nafikiri wengi wao ni walevi sasa dawa ndio hizo ni kuwafeka tu mmoja baada ya mmoja mm nahisi hata si waislamu 7babu muislamu wa kweli hawezi kufanya unyama huu ndio tukasema CUF hawana mikakati wanashindwa na kila kitu vipi utaipata Serikali ikiwa kila kitu kinakushendeni si wakati tena tulieni tulieni tuleini ni wakati wa Kimafya lkn silence mmoja mmoja anakwenda kufukiwa hizo ndio zitakuwa salamu za kizombi zombi halfu wananchi angalieni kutakuwa na mtu yyote atakaeguswa .Kuna sehemu moja Mambasa Polisi na ujeuri wao na silaha zao basi hawaendi hata ukawafanya nini kwa sababu washatiwa adabu ,sisi kwetu Utasikia tembea kifua mbele umeshinda weyeee ,mataimbo umewaganda mara hii , ukhanisi wa mwisho nisameheni ndugu zangu kwa lugha hii sasa sijui nani umenganda mtaimbo ,watu wanapigwa na kuumizwa hii tena too much .
  @ Moyo wala usiseme ndio malaika hajatoa ruhusa tunasubiri ushadi kamili (Ushahidi wa mnyamwezi ) Mimi nashangaa yule Mpemba juzi kamchoma kisu ndugu yake kwa kosa la kipumbavu wakati watu wa kuchoma visu wapo wamejaa tele.

 13. Z.I.7 08/12/2016 kwa 11:12 mu ·

  Sioni sbb ya lugha za kifedhuli kama Umeona CUF wameshindwa wewe panga mpango unaona utaikombowa zanzibar nasema panga inamaana kubwa sio kusema tu. kwani hivi ni vita baina ya ya adil na jahil kwahiyo lazima uwe makini uwe tayari kufa kuna wakati uweke pembeni huruma kwani mara zote ktk hali kama hii lazima na upande mwengine ufanyiwe kama yale wanayoyafanya wao ndio watakuja mezani ndio watafaham kuwa kumbe wanayoyafanya SI sawa ni mabaya bila ya kufanyiziwa ndio hivo tokea walipoanza mpk leo nizidi ya miaka3 bado wanaendelea kwa sbb sijui ni uwoga wa wanaofanyiwa au hawajui kujiorganize au vp kwani

  kwani muda ni mrefu wamekuwa wanafanya haya, haiwezekani iwe hakuna hata fununu yakufatilia ni kinanani, wanapoishi, lkn pia hawa wanakuwa ktk gari
  na polisi wanasema ni wahuni hawafaham kwahiyo hapo wazanzibari mnagoja nini?

  na kwa kawaida watu kama hawa eidha kwa mazoea au kwa kutumia mihadarati wanapoona wamefanya unyama na hakuna lolote au imekuwa kimya mara nyengine hufanya kuliko ule ndio hapo wanaothubutu kuwaingilia watu majumbani. na kumbuka wakati nipo znz walifanya kama haya na hawakuulizwa siku moja walimtandika kiongozi wa chama chao bila kujuwa kwassbb inafikia pahala wanakuwa zaidi ya wanyama wanachojuwa ni kufanya uhayawani tu sasa bila ya kuwasimamisha watafanya kila unyama na kila utovu waadabu

  wazanzibari msiwache kuwasiliana ni vipi kuwakomesha wanyama hao.

 14. moyo 08/12/2016 kwa 1:11 um ·

  Wana cuf tulieni hawa ccm wanapapatika tu hawana cha kufanya, tembeeni kifua mbele mtaimbo umewagandaaaaaa, wala msichokozeke hawa wanataka muanzishe fujo ili wachafue safari yetu ya Singapore, hivyo tulieni watakavyokuchokozeni nyinyi msiwajibu.

  Wala msiwe na wasi wasi haki yenu itapatikana, mmarekani yuwaja na UN na dunia nzima haijatuwacha mkono.

  Na nataka niwaambie hawa wanahangaika kunizuia mimi eti nisiingie ikulu, na juzi tu wamemzika ng’ombe mzima mzima wamemvisha sanda wanataka mimi nife, wanahangaika kwa waganga wa ulimwengu mzima wanataka kuizuia cuf isiingie madarakani yagujuuu safari yetu ya Singapore iko pale paleeee

  sawa sawaaa.

 15. chatumpevu chatumpevu 08/12/2016 kwa 1:15 um ·

  Ndugu zangu Jino kwa jino na Z.1.7 nakubaliana na mawazo yenu nyote. Ni kweli maharamia wa mazombie wanalindwa na dola lakni nafikiri wananchi wapenda amani wa CUF hawajakusudia kujihami. kubwa tunamuachia Mungu lakni tukumbuke kuwa washenzi hawa hawajui Mungu, mahayawani hawa wana kiu ya kunywa damu ya wanaCUF. ifike wakati na sisi tuseme uonevu uwe mwisho. Naamini kuwa CUF hawajakusudia kuwawekea mtego madhalimu hawa, wanaingia kilaini lkni tumemuweka Allah mbele kuliko kutaka shari. Ningeshauri kuanzia sasa ukikaa baraza ya CUF unyooshe panga lako kwenye uti wako wa mgongo, na vipande vya nondo kwenye soksi kama ni kinga ya dharura kwa lolote linaloweza kutokea. Hawa madhalimu wakiwekewa mtego wanaingia na tunawaweza hawa. kwa sababu ukisha dhibiti gari isiingie ndani ya mtaa watakaoingia shetani hawa tunaweza tukakabaliana nao ipasavyo.

  Jamani kuanzia leo tujihadhari tunapokaa kwenye baraza zetu. Kuna taarifa kuwa “ambush” za waliofanyiwa wenzetu hyo juzi/ jana zitaendelea ktk mitaa tofauti.
  Tujihadhari , ukikaa ktk baraza ya CUF uwe na msema kweli uliyemnyoosha kwenye mgongo wako

 16. chatumpevu chatumpevu 08/12/2016 kwa 1:20 um ·

  Ndugu yangu moyo
  unaudhi maneno yako ni ya kuudhi na yenye kuashiria dharau. ukisoma “between and within the lines” utaona kuwa unatuletea kejeli na dharau . Maandishi yako yamejaa kichefuchefu. Unaashiria kumkejeli mtu fulani. kama huna cha kuandika ni bora uendee kuka kisonge mkaendelea kupanga mikakati yenu ya uzombi,

  • Abdul Zakinthos 08/12/2016 kwa 1:51 um ·

   haina haja kuudhika watu kama hawa tunawapenda humu mtandaoni

 17. moyo 08/12/2016 kwa 2:08 um ·

  Ndugu yangu @chatu mpevu hayo maneno sio yangu nimeyanukuu kutoka kwa kiongozi wetu mpendwa mwenye fikra yakini.

  Kama maneno hayo yanaudhi na kutia kichefchefu na ni ya kejeli basi kejeli hizo na maudhi hayo na kichefuchefu hicho anatutia nacho huyo kipenzi chetu.

 18. Wajonany 08/12/2016 kwa 2:25 um ·

  Haya twende

 19. Ghalib 08/12/2016 kwa 3:33 um ·

  Ma zombie ni jeshi la police, muheshimiwa mazrui alithibitisha hilo wakati alipo peleka taarifa hizo ,na mmoja ya police katika kituo hicho alimueleza kwamba ni kazi yao Maalum.

  Sasa ikiwa jeshi la police linajifanya kuwa maharamia na kuwa kitambaa cha ccm cha mafua, ni wakati wa kupanda nao kwa njia hio hio wanayo tumia nje ya sheria. Ndio ukaona hata ukitoa taarifa police hawa shughuli ki.

 20. mohamed 08/12/2016 kwa 5:14 um ·

  @Shakush hii ya “Mtaka tenda….”,sioni ndani kaka labda unijuze.
  ):

 21. mzeekondo 08/12/2016 kwa 10:56 um ·

  Shakush.
  Nakuitikia “NGULI” wa lugha,nimezitumia herufi maalum ziendane na wadhifa wako katika fani hii,sitaki kuusingizia uzee kuwa ndio kisa cha mimi kuwa butu kwa sasa, ni wajibu kuwa muungwana wa vitendo na kukiri hadharani kuwa asali imeishinda sukari,mwanafunzi kumtoa makosa mwalimu isiwe msiba wa kumfukuza shule, kwani elimu iwe lugha au hesabu haina hati miliki wala haitotokea.

  Msumeno husugua mbele na kurudi nyuma ili kusahihisha makosa,matokeo yake utapata ubao unaoutaka, muhimu ujue matumizi na wakati lakini pia kazi hiyo hiyo huenda ukaitia dosari ikiwa hukuwa na lazima ya kuusugua ubao ovyo kwa kuwa mkono umezowea,ndio maana wahenga walituusia pima kadri uwezavyo lakini kata mara moja,sasa kimya hichi cha waungwana cha nusu karne mna hiari yenu kukidhania ndio desturi, someni historia zenu na za wenzenu, mtagundua moto hauwaki ovyo bila makuti kujaa moshi.

  Mapinduzi ya Unguja wengi yame tuunguza,Pemba ilikuwa kimya hivi sasa kunarindima,kumezidi nini mara hii hata hatujuwani,kastaajabie pwani ngarawa kugeuzwa manuwari, mimi sikosi usingizi kwa kuwa nipo duniani,hakuna ajuae jioni kuna nini seuze kesho?alie pinduliwa kalala na alie pindua yu hoi, babu nigaie soda kwangu maji hayatoki.

  Usituone hayawani radhi sio masihara,tunayo tenda sio dini wala sio utamaduni, damu nyingi sakafuni,tumebaki masikini na wala hatuna mpini.

  Shakush nakutakia siku njema.

  Nakushukuru.

Comments are now closed for this article.