Gazeti la Annur

Written by  //  06/07/2013  //  Annur  //  Maoni 1

ANNUUR 1078 by MZALENDO.NET

Kuhusu Mtunzi

View all posts by

Maoni Moja katika "Gazeti la Annur"

  1. Makame Ame 06/07/2013 kwa 6:18 um ·

    Hiki kichwa cha maneno ‘ Edward Lowasa Kutinga Masjid Taq’wa ilala Kesho’ imenishtua sana. Kweli hii ni Masjid Taqwa. Au maana ya taqwa mimi siifahamu. Huyu Lowasa kwanza ni Muislamu? Pili kama nani anahusishwa na uzinduzi wa masjid tena unaoitwa taqwa. Pana taqwa gani hapa jamani? Ni vigumu kufahamu kwa sisi wenye akili na elimu finyu ya kidini.

    Dhahiri l amr hii si taqwa bali ni nifaq na na kwenda kinyume cha maelekezo ya Quraan. Mashekhe zetu munatupeleka wapi?

Comments are now closed for this article.