2015 CUF IKULU NI YAO HAKUNA MJADALA JUU YA HILO.

Written by  //  02/04/2015  //  Habari  //  Maoni 2

tunaelekea katika uchaguzi mkuu mwaka huu mnamo mwezi octoba, kwa kawaida miaka yote chama cha ccm hushindwa katika uchaguzi visiwani zanznibar kinachofata hufanya mabavu wizi wa matokeo ya kura na kujipa madaraka, lakini mwaka 2015 jambo hilo ni ndoto na halitakua rahisi kwao wala wasijipe tamaa kwamana dalili zote kuu za kukaa upande chama cha ccm zipo wazi, na juzi kulizuka mtafaruko katika kikao cha baraza la wawakilishi, kwa hoja ya kuhusu zen ID, ukweli usiopingika ni kwamba walopiga kura mwaka 2010 ambao wanazo zen ID bado ccm ilishindwa na pia kuna wazanzibar asilimia kubwa hawakushiriki kupiga kura 2010 na wanazo zen ID, kwahio ccm kuwanyima wanzazibar ZEN ID bado haijakua, solusion kwao watashindwa tu, nawapa pole sana kwa mbinu mbovu hio, kwa ilivo sasa ni kwamba wazanzibar wameamka siasa ilivo kua miaka ya nyuma sio ya sasa na hali halisi zinaonekana wazanzibar wale walogoma kupiga kura mwaka 2010, wameshaamua kwamba 2015 hawatafanya tena kosa lile, pia kuna wapiga kura waloipigia CCM miaka ilopita, na sasa wameamua kutoka ccm kiukweli ni wazanzibar wengi sana na tafiti zinaonesha kwamba kila uchao CCM wanapoteza wanachama kuna wanaojionesha zahiri na pia kuna wanao toka CCM kimya kimya siri moyoni mwao, okombozi wa zanzibar kiukweli ni 2015 hili halipingiki hata kidogo, tumuombe mungu atuafikishie tushiriki uchaguzi kwa salama na amani tukiwa na afya njema tu. YALE MANENO YAO HATUTOI NCHI HAITOKI KWA KARATASI SASA BASI NI MANENO HATA KWENYE KANGA YAMO. BY nurdin bilal hassan mwanafunz chuo kikuu cha, mwalim nyerere lanaa tu llah

Kuhusu Mtunzi

View all posts by

Maoni 2 katika "2015 CUF IKULU NI YAO HAKUNA MJADALA JUU YA HILO."

 1. Serious 02/04/2015 kwa 3:16 um ·

  Amina ya rabbil alamiin.
  Nurdin ndugu yangu kwa nn lakini unakuwa hivyo?
  Baniani mbaya lakini kiatu chake dawa? wakati huo huo kisebusebu lakini kiroho kipapo!
  kwa nn usingejiunga tu pale State university badala ya kuendelea kuwepo kwa huyo laanatullah ? mm mara nyingi naamini vitendo kuliko maneno. mdomo haushindwi kutamka lolote kama ulivyofanya wewe hapo juu. Naomba jiondoe hapo chuo uelekee suza au chukwani au tunguu then tuje tumlaani huyu kafir nyerere, mimi titakusaidia kufanya hivyo so long hutokuwepo hapo chuoni, vyenginevyo nakuwa sikuelewi vizuri. Au program unayofanya haipo katika hivi vyuo vyetu?

 2. nurdin 02/04/2015 kwa 6:01 um ·

  asante nd. yangu serious ila hata nikisoma suza au bado ni hao hao tu cha msingi tuingie ikulu vijengwe vyuo ya kimataifa zanzibar hapo ndio tutajisikia huru na haitakua rahisi kusoma tanganyika kwamana tutajitosheleza kielimu wenyewe elimu za msingi secondary na vyuo vikuu in zanzibar

Comments are now closed for this article.