Aziza Mohammed mwanafunzi aliyeathirika kufutiwa matokeo yake ya mtihani wa kidatu cha nne aliacha simanzi kubwa ukumbini baada ya kueleza masikitoko yake ya kufutiwa mitihani na kuelezea jeshi la polisi lilivyowanyanyasa wakati wlaipopanga kuandamana kupinga matokeo hayo ambapo licha ya kupata kibali cha maandamano lakini jeshi la polisi liliingilia kati na kuwatawanya kwa kuwarushia mabomu ya machozi na kuwanyanyasa huku wengine wakipigwa na kutupwa katika gari la polisi hivi karibuni, lakini Aziza aliwalaumu wazazi wa wanafunzi hao ambao walishindwa kuwaunga mkono watoto wao katika hilo pamoja na kuwalaumu waandishi wa habari kwa kushinda kuwapa coverage katika tukio hilo
Kongamano la kutathmini matokeo ya elimu, mwanafunzi awaliza wazazi
19/02/2012, Maoni 10

Salma Said, BAADHI ya wazazi ambao watoto wao wamefutiwa matokeo ya mitihani ya kidato cha nne visiwani Zanzibar wanakus ...

Zanzibar MPs protest Tanzania bid for more sea
19/02/2012, Maoni 1

anzania’s plan to seek an extension of continental shelf outside the Exclusive Economic Zone (EEZ) is facing renewed r ...

Annur:Toleo la Februari 17-23
19/02/2012, Maoni 1

Annur teoleo la FEBRUARI 17 -23, 2012

Wanakijiji wamzuia Dk Bilal kwa kulala barabarani
17/02/2012, Maoni 1

Hadhari: **Habari hii ya Makamu wa rais katika kazi  zisizohusiana na Zanzibar, lengo ni kujadili vipi Zanzibar inaweza ...

Sauti:Wanawake na Maendeleo – Karafuu Pemba
16/02/2012, Comments Off on Sauti:Wanawake na Maendeleo – Karafuu Pemba

Salma Said, Chanzo:DW-Swahili

Balozi Seif afagilia Serikali ya Umoja wa Kitaifa
14/02/2012, Maoni 20

MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi amesema Serikali ya Umoja wa Kitaifa imeweka mbele maslahi ya w ...

Barua ya wazi kwa katibu mkuu wizara ya elimu
14/02/2012, Maoni 4

Katibu Mkuu , Wizara ya Elimu na Masfunzo ya Amaali Zanzibar Ndugu Katibu Mkuu, Yah.:ELIMU ZANZIBAR Assalam Aleykum! Nin ...