Hatimaye Zanzibar kuwa na sheria ya kupambana na rushwa
18/01/2012, Maoni 4

Na Ally Saleh, Hatimaye kuna uwezekano mkubwa wa Zanzibar kuwa na sheria yake ya kupamba na na rushwa kwa kuwa Serikali ...

Serekali ya watu wa Zanzibar yapendekeza sheria kali dhidi ya rushwa
15/01/2012, Maoni 5

Na Mwinyi Sadallah Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imependekeza sheria kali ya kupambana na vitendo vya rushwa w ...

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akimvisha nishani kijana Mohd Khamis mwenye ulemavu wa akili baada ya kupata ushindi katika michezo ya Special Olimpik kwa ajili ya watu wenye ulemavu yaliyofanyika Morogoro. Hafla hiyo ilifanyika uwanja wa michezo Gombani Pemba.
Olimpik ya walemavu – Gombani Pemba
14/01/2012, Maoni 1

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad amekabidhi nishani mbali mbali kwa vijana wenye ulemavu wa ...

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe wa kamati ya mfuko wa maendeleo ya watu wenye ulemavu mara baada ya kuizindua kamati hiyo huko Ofisni kwake Migombani.
Twahitaji kufanya ukombozi kuwasaidia walemavu – M.Seif
14/01/2012, Maoni 3

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad amesema wakati umefika wa kuwakomboa watu wenye ulemavu na ...

Annur:Toleo la ijumaa tarehe 13-01-2012
14/01/2012, Comments Off on Annur:Toleo la ijumaa tarehe 13-01-2012

Shukurani za dhati kwa mwandishi Salma Said na wahariri wa gazeti la Annur. Annur:Toleo la ijumaa tarehe 13-01-2012

Sauti:DW na Hamis Abdullah Ameir – Miaka 48 ya Mapinduzi
11/01/2012, Maoni 3

Leo tarehe 12 Januari inatimia miaka 48 tangu kufanyika mapainduzi ya Zanzibar yaliyouondosha ufalme visiwani humo. Kuna ...

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza baada ya kufungua mradi wa maji wa Kiuyu na Maziwang’ombe katika Wilaya ya Micheweni.Wengine kutoka kulia ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi Said Ali Mbarouk na Waziri wa Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati Ali Juma Shamuhuna.(Picha, Salmin Said OMKR).
Micheweni kutimiza azma ya kuwa eneo huru la uchumi
11/01/2012, Maoni 2

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad amesema kuimarika kwa miundombinu katika Wilaya ya Michewe ...