Bei za Nguo Juu Zanzibar.
02/08/2013, Maoni 4

Na Hafsa Golo WAKATI wananchi wakijiandaa kwa sherehe ya sikukuu ya Eid el Fitri, bei za nguo zimepanda maradufu katika ...

Dhana ya utawala bora ilipokosa meno
02/08/2013, Maoni 10

Na A K Simai Niliwahi kuandika takriban mwaka mmoja uliopita kwamba kulikuwa na matatizo katika ujenzi wa jengo jipya la ...

Serikali yatoa ruhusa jengo la uwanja wa ndege kuendelea
31/07/2013, Maoni 1

Na Ali Issa-Maelezo Zanzibar 31/7/2013 Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imetoa ruhusa ya kuendelea kwa ujenzi wa Jengo ...

Tanzania yapewa Sh. bilioni 344 za barabara (Z’bar itanufaika vipi ?)
31/07/2013, Maoni 4

Serikali imepokea msaada wa kiasi cha dola za Marekani milioni 210 (sawa na Sh. bilioni 344.6) kutoka Benki ya Dunia (WB ...

Tume: Hakuna gharama kuendesha Serikali tatu
31/07/2013, Maoni 2

Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mpya, imewabeza watu, hususan wanasiasa wanaosimama majukwaani kueleza Muundo wa Muungano w ...

SMZ imeshindwa kusimamia bei za vyakula?
31/07/2013, Maoni 2

Zanzibar. Kila uchao kilio cha wananchi wa Zanzibar ni juu ya hali ya bidhaa muhimu – mchele, unga wa ngano na sukari. ...

Mabaraza Katiba yaonywa nchini
30/07/2013, Maoni 2

Singida.Mwenyekiti wa Tume ya Katiba, Ali Saleh Ali, amewataka wajumbe wa mabaraza ya katiba ngazi za wilaya, wasiogozwe ...