11091174_1072713569421773_7993821471283579464_n
 //   //  26/03/2015  //  Maoni 11

Ofisi ya CUF Zanzibar yateketea na moto

Katibu mkuu wa Chama cha Wananchi CUF ambae pia ni Makamo wa kwanza wa Rais Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad ametembelea ofisi ya Chama hicho jimbo la Dimani. Maalim Seif amefanya ziara hio baada ya watu […]

kheri
 //   //  20/03/2015  //  Maoni 5

Kinachowasumbua CCM jeuri tu

Haji Omar Kheri akizungumza katika moja ya mikutano ya Chama Cha Mapinduzi ambaye pamoja na kukiimarisha chama hicho lakini amekuwa mstari wa mbele katika kutoa lugha za uchochezi katika vikao vyake, ushahidi wa hayo tafuta video […]

Mwenyekiti wa Wilaya ya Mjini wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Borafya Silima
 //   //  19/03/2015  //  Maoni 3

Hii si shaghalabaghala, ni ‘baghalashaghala’

Na Ahmed Rajab OKTOBA ya mwaka huu haitokuwa chapwa asilani kwa Watanzania, hasa wiki zake mbili za mwisho. Kipupwe kitakuwa kinamalizika. Polepole kiangazi kitaanza kuwaka, kikijiingiza kwa ghadhabu na nchi nzima itahanikiza harufu. Haitokuwa harufu ya […]

pinda
 //   //  18/03/2015  //  Maoni 2

Pinda kapinda lakini Pandu kapindua

LICHA ya sifa lukuki tulizonazo, na ambazo mimi kama Mzanzibari najifaharisha nazo, Wazanzibari tuna udhaifu wetu wa kibinaadamu. Hatupendi kuambiwa ukweli. Kama walivyo wengine, tukiambiwa ukweli mchungu, huja juu kama moto wa kifuu. Na hili hasa […]

Chama-Cha-Mapinduzi
 //   //  12/03/2015  //  Maoni 3

Natoka CCM kwani si mama na sitajutia uamuzi

Fred Mpendazoe Toleo la 396 11 Mar 2015 TANZANIA yetu ipo njia panda. Tuliyonuia kuyafanikisha miaka 50 iliyopita, yamekwama. Na hatua tuliyopiga kama taifa haifanani na umri mkubwa wa kujitawala kwetu wala na utajiri wa rasilimali […]

Tangazo la Nafasi za masomo China
19/03/2015  //  Maoni 3
Kuna fursa ya kujiendeleza kimasomo Nchini China, ambapo muombaji anaomba moja kwa moja kupitia mtandao. Zipo fursa kati ...